Ratiba ya Utoto Mtakatifu 2014

JANUARI

01/01/2014 MWAKA MPYA

12/01/2014 UBATIZO WA BWANA

16/01/2014 KUMB. UZINDUZI KANISA (MISA )

FEBRUARI

09/02 KUHAMASISHA—MZENGA

22/02 SEMINA YA WALEZI WOTE—PAROKIANI

MACHI

02/06 SEMINA YA VIONGOZI—PAROKIANI (JIONI)

05/03 JUMATANO YA MAJIVU

16/03 HIJA, PUGU

22/03 HIJA, VYAMA VYOTE, MSIMBAZI

23/03 MAFUNDISHO—PAROKIANI (JIONI)

APRILI
12/04 MAFUNGO, WALEZI—PUGU

13/04 MATAWI—MATENDO YA HURUMA

19/04 MKESHA WA PASAKA

30.04 MT. COTTOLENGO, SHEREHE

MEI MWEZI WA MARIA

ROZARI YA WATOTO



24/05 HIJA, VYAMA VYOTE—PUGU

25/05 SAFARI YA UINJILISHAJI, MASAKI

JUNI

08/06 PENTEKOSTE, WALEI

22/06 MWILI NA DAMU, MAANDAMANO

KONGAMANO LA KITAIFA—MTWARA
JULAI

26/07 BEACH (MSASANI BEACH)

07/07 UPADRISHO, JIMBO KUU

AGOSTI

16/08 SEMINA YA WALEZI WOTE—PAROKIANI

17/08 SEMINA YA VIONGOZI—PAROKIANI (JIONI)

SEPTEMBA

21/09 MAFUNDISHO-PAROKIANI (JIONI)

28/09 KUPONGEZA WAHITIMU (PAROKIANI)

OKTOBA MWEZI WA MARIA, UMISIONARI
ROZARI YA WATOTO



01/10 MT. TERESIA WA MT. YESU

SAFARI -UINJILISHAJI, MAFIA (KIJIMBO)

MAANDALIZI YA TAMASHA 2014

Comments

Popular posts from this blog

TYCS - Muungano wa Mt. Cottolengo (MOCK)

Mwana Mpotevu au Waana Wapotevu?