Ratiba, Mwaka wa Familia: Ofisi ya Vijana
PAROKIA YA MT. STEFANO SHAHIDI, KISARAWE
Mwaka wa Familia
“Tumaini lenu liwaweke daima wenye furaha; muwe na saburi
katika shida, na kusali daima”
(Rom. 12:12)
JANUARI
01/01/2014 MKESHA MWAKA MPYA
12/01/2014 UBATIZO WA BWANA
16/01/2014 KUMB. UZINDUZI KANISA (MISA )
FEBRUARI
15/02 SEMINA-UJASIRIAMALI
23/02 Uzinduzi wa Filamu-“Imani Iliyooza”
KUFUNGUA TAWI—MARUMBO
MACHI
01/06 GRADUATION F.6
05/03 JUMATANO YA MAJIVU
22/03 HIJA, VYAMA VYOTE, MSIMBAZI
29/03 HIJA-BOKO
APRILI
05/04 MAFUNGO—VIJANA WOTE
06/04 MATENDO YA HURUMA
13/04 MATAWI—SIKU YA VIJANA, UPANGA
19/04 MKESHA WA PASAKA
30.04 MT. COTTOLENGO, SHEREHE
MEI MWEZI WA MARIA
01/05 SOMO WA VIJANA— UPANGA
18/05 SAFARI YA UINJILISHAJI, KIGANGONI
24/05 HIJA, VYAMA VYOTE—PUGU
25/05 SEMINA, JIONI
28-30/05 KONGAMANO, KIJIMBO—LOYOLA
JUNI
08/06 PENTEKOSTE, WALEI
19/06 MWILI NA DAMU, MAANDAMANO
KONGAMANO LA VIJANA, PAROKIA
JULAI
06/07 MICHEZO MBALIMBALI
07/07 UPADRISHO, JIMBO KUU
AGOSTI
10/08 MAIGIZO, FILAMU
23/08 BEACH TRIP—MSASANI
SEPTEMBA
02/09 MT. JOSEPH COTTOLENGO
13/09 SEMINA, VIJANA WOTE
23/09 PADRE PIO—CHAMA CHA MIITO
27/09 GRADUATION, F4
OKTOBA MWEZI WA MARIA, UMISIONARI
01/10 MT. TERESIA WA MT. YESU
1-6/10 KONGAMANO KITAIFA, NJOMBE
19/01 SAFARI -UINJILISHAJI, CHANIKA
NOVEMBA
01/11 WATAKATIFU WOTE
02/11 MAREHEMU WOTE
03/11 KUANZA MICHEZO, PENGO CUP
16/11 MICHEZO MBALIMBALI
DISEMBA
08/12 BIKIRA MARIA, IMMACOLATA
13/12 MAFUNGO, VIJANA WOTE
14/12 MATENDO YA HURUMA
25/12 NOELI,
27/12 BEACH MASS, MBEZI BEACH
31/12 MKESHA MWAKA MPYA, TYCS-UPANGA
Comments
Post a Comment
Thank you for visiting Bits of the Gospel. We appreciate your comments and support.