Youth Office 2013
KALENDA 2013
JANUARI
· 01/01—MWAKA MPYA, MKESHA
· 06/01—EPIFANIA, UCHAGUZI VIJANA
· 12/01—WAMINISTRANTI, UCHAGUZI
KUWASILI MSALABA WA IMANI
· 16/01–- KUMB, KUTABARUKIA ALTARE, MISA
· 19/01—GRADUATION (KANDA), KUAGANA NA KIDATO CHA SITA, MINAKI
· 27/01—Uzinduzi, TYCS Overland
FEBRUARI
· 13./02—JUMATANO YA MAJIVU, MISA WOTE
KUONDOKA MSALABA WA IMANI
· 23/02—MAFUNGO, UMOJA WA VIJANA
MACHI
· 02/03—MATENDO YA HURUMA, KIPAROKIA
· 16/03—HIJA BOKO, KIJIMBO
· 24./03—DOMINIKA YA MATAWI, KUSIMAMIA MISA, WIKI KUU
· 31/03—PASAKA, MKESHA, MISA
APRILI
· 20/04—SEMINA, UMOJA WA VIJANA
· 26/04—TALENT SHOW
MEI—MWEZI WA MARIA
· 01/05—MEI MOSI, KIJIMBO, UPANGA
· 11/05—SIKU YA TYCS, MOCK (MUUNGANO)
· 19/05—SAFARI YA UINJILISHAJI, KIGANGO
JUNI
· 02/06—MWILI NA DAMU YA KRISTO
· 07/06—MOYO MTAKATIFU WA YESU
· 16/06—DOMINIKA JIONI, LITURUJIA, MASWALI NA MAJIBU
· 22/06—SEMINA, DEKANIA
JULAI
· 4-7/07—KONGAMANO LA VIJANA, KIPAROKIA
· 21/07—MAFUNDISHO, JIONI.
AGOSTI
· 14/08—MAFUNDISHO KUHUSU SALA, JIONI
· 17/08—BEACH TRIP, MSASANI
SEPTEMBA
· 02/09—SHEREHE, MT. J. B. COTTOLENGO
· 21/09—SEMINA, UMOJA WA VIJANA
· 28/09—GRADUATION, MOCK Form 4
OKTOBA—MWEZI WA MARIA
· 01/10—TERESIA WA MTOTO YESU
· 27/10—SAFARI YA UINJILISHAJI, KIGANGO
NOVEMBA
· 01/11—WATAKATIFU WOTE
· 02/11—MAREHEMU WOTE
· 10/11—MAFUNDISHO, JIONI
DISEMBA
· 08/12—BIKIRA MARIA MKINGIWA DHAMBI YA ASILI
· 14/12—MAFUNGO
· 22/12—MATENDO YA HURUMA
· 25/12—NOELI
· 28/12—BEACH MASS
O 31/12--Mkesha
Nembo ya Mwaka wa Imani
Imeundwa kwa alama mbalimbali zinazobeba maana maalum.
A) Mashua: Hii ni ishara ya Kanisa linalosafiri.
B) Mlingoti: Huu ni Msalaba ambao juu yake kuna monogramu (chapa ya herufi zaidi ya moja zinazochanganyika pamoja, moja juu ya nyingine) IHS. Hizi ni herufi tatu za kwanza za Kigriki za jina la Yesu: I = Iota, H = eta, S = Sigma. Alama hizi zinatumika pia kuonyesha kifupisho cha jina la Yesu ambapo kwa kilatini zinatumika kusimama badala ya maneno: Iesus Hominum Salvator; yaani, Yesu Mwokozi wa Wanadamu.
C) Mduara: Nyuma ya monogramu ipo alama ya mduara ambao unaizunguka pia monogramu hiyo. Hii ni alama ya Jua ambayo inawakilisha Ekaristi Takatifu.
(Tafsiri ya maelezo, TEC, 2012)
Nembo ya Ofisi ya Vijana
Vijana wane walioshikana mikono wanasimamia vyama vya Kitume vinavyounda umoja wa Vijana. Katikati kuna alama ya kamba, chini ya neno Fidei. Kamba ni chombo cha kufunga vitu viwili au zaidi. Kamba inayoshikanisha vijana wote ni Imani. Neno Fidei ni neno la Kilatini lenye maana, “ya Imani”. Yaani, umoja huu unahusu imani.
Programu zote za Mwaka wa Imani zitakuwa na nembo hii. Pia, kauli mbiu ya mwaka huu, kwetu vijana, itakuwa pia sala, maneno ya mwinjili Luka,
“Bwana, utuongezee imani”
Luka 17:5.
2012—2013
Imeandaliwa na Walezi:
Pd. Nicholas Kirimo, ssc
Sr. Hellen Murungi
Sr. Maria Cesaria
Fr hongera kwa kazi ya kitume unayoendelea kuifanya. Mwenyezi akutie nguvu katika kutekeleza majukumu yako kama mlezi wa vijana na padre kwa ujumla. Wafikishie salamu zangu vijana wa parokia ya Kisarawe. Heri ya mwaka mpya 2030. Deo gratias
ReplyDelete