Posts

Showing posts from January, 2013

Musings

"The Vision 2030 aims to make Kenya, ‘a globally competitive and prosperous nation with a high quality of life’ in the next 25 years, hinged on three key pillars. Economic Pillar: Maintain a sustained economic growth of over 10 percent per annum over the next 25 years Social Pillar: Achieve a just and cohesive society, enjoying equitable social development in a clean and secure environment Political Pillar: Develop an issue-based, people-centred, result-oriented and accountable democratic political system." ___________________________________  Most Kenyan politicians seem to have forgetten that saying they know does not assure us that they know. If you are here to take Kenya to the next level, why have you taken a totally different direction? Politics in Kenya are not issue-based, people-centred, result-oriented and accountable. They are simply 'Pathetic'. Pray, dear Kenyans, for a better Kenya regardless/in spite of who becomes our next president. However...

TYCS Kanda ya Mt. Aloyce - Pugu

RIPOTI YA MAAFALI YA KIDATO CHA SITA KANDA YA MT. ALOYCE – PUGU   UTANGULIZI Maafali ni sherehe ya kuwaaga na kuwapongeza ndugu wanaovuka hatua moja na kuelekea nyingine katika masomo. Mnamo tarehe 19/01/2013, kulikuwa na maafali ya kidato cha VI yaliyofanyika katika viwanja vya Parokia ya Kisarawe. Maafali haya ni shere ambayo hujumuisha na kushirikisha shule mbalimbali za sekondari katika Kanda ya Mt. Aloyce – Pugu. Mahafali ya mwaka huu yalikuwa ya pekee mno, kwani yalipata kuwa na washiriki wengi kutoka sehemu tofauti tofauti katika kanda yetu. Pia yalifanyika kwa mara ya Kwanza katika Parokia ya Kisarawe, kinyume na miaka ya nyuma. LENGO Maafali haya yalikuwa na malengo kama yafuatayo: Å       Kumshukuru Mungu pamoja na wahitimu kwa kuwafikisha hapo walipofikia salama yaani kidato cha sita. Å       Wahitimu kuomba msaada kwa Mungu ili waweze kuongozwa na Roho wake katika kipindi hiki cha mwisho...