TYCS - Muungano wa Mt. Cottolengo (MOCK)
Muungano wa Mt. Joseph Benedict Cottolengo (TYCS – Minaki, Overland, Chanzige, na Kimani) s.l.p. 28017 kisarawe - pwani 1. Jina Jina rasmi la Muungano Muungano wa Mt. Joseph Benedict Cottolengo. Kifupi cha jina la Muungano ni Herufi za Kwanza za Matawi Husika. ( MOCK – Minaki, Overland, Chanzige, na Kimani). 2. Historia TYCS ni umoja wa wanafunzi wakatoliki Ulimwenguni. Inajulikana kama vijana wanafunzi wakikristu. Hili kutimiza lengo la “kumleta Kristu katika mazingira ya Mwanafunzi”, na kuwasaidia Vijana Wakatoliki kujiamini zaidi katika kuishi maisha yao shuleni, ushirika huu wa kitume unaendelea kutafuta mbinu zaidi za kuboresha mikakati yake. Moja ya mbinu hizo ni kuunda Kanda na Muungano, ambayo huleta matawi zaidi pamoja hili kuwapa huduma za kiroho kwa urahisi na ufanisi. Muungano wa Mt. Joseph Benedict Cottolengo ulianzishwa mwaka ...
Comments
Post a Comment
Thank you for visiting Bits of the Gospel. We appreciate your comments and support.