Posts

Showing posts from June, 2014

Holy Trinity and the Family

Image
Introduction A Christian family, modeled at the image of the Holy Trinity, must be so much cohered that whoever sees it sees unity, sees love, sees peace, sees harmony, sees stability and security.... These are some of the aspects of a family that render it attractive to the younger generation. Needless to say, backbiting and backstabbing, outbursts of anger and the desire to revenge, separation and divorce, to name but a few, render the institution of marriage unattrative to the younger generation. Holy Trinity and the Family St. John Paul II believed the family would play a vital role in the new evangelization. What would be a family that lives these values in an heroic way? It would be a living testimony of the Gospel of Life put in daily life. This way, the Christian family would not be a mere bystander in the Church’s evangelizing mission. We are in the midst of an eroding cultural crisis. Attempts to redefine marriage and the family are more compelling now that

JE, UNAICHUKULIAJE BIBLIA?

Image
Je, unaichukuliaje Biblia? Kwa maoni yako … - ni tunda la busara za mwanadamu? - ni kitambu cha hadithi na nahau? - ni Neno la Mungu? Biblia inasemaje? “Maandiko matakatifu yote ni uvuvio kutoka kwa Mungu.” (2 Timotheo 3:16) Ina maana hii kwako: - majibu ya kuridhisha juu ya mambo makubwa ya maisha (Methali 2:15). - misingi dhabiti ya maisha ya kila siku (Zaburi 119:105). - matumaini halisi ya maisha ya baadaye (Warumi 15:4) TUNAWEZA KUAMINI INACHOSEMA BIBLIA? Ndio, angalau kwa sababu tatu: ü       Mwendelezo wa ajabu Biblia imeandikwa ndani ya miaka 1600 na watu kama arobaini hivi. Wengi wao hawajulikani kamwe. ü       Uwazi katika kueleza historia. Wanahistoria kawaida hujaribu kuficha kushindwa kwa watu wao. Baadala yake, waandishi wa Biblia wanaripoti kila kitu bila kuficha mapungufu yao na ya taifa yao. (2 Nyakati 36:15, 16: Zaburi 51:1-14) ü       Kutimia kwa unabii Biblia ilitabiri kuanguka kwa mji wa Babilonia karibia miaka 2